Meet the young digital activists who are raising their hand for digital issues and awareness in Tanzania.
Je, unafahamu teknolojia zipi zitakazotawala dunia mwaka 2025? Je, una stadi gani za kidijitali zitakazokuweka mbele katika soko la ajira au biashara? Katika episode mpya ya Eleven Digital The Podcast tunakuletea teknolojia tano muhimu unazopaswa kujifunza mapema ili kuongeza maarifa na nafasi yako…
recentlyLeo hii, tutaangalia uhusiano kati ya Israeli na Marekani. Kwa nini Marekani inamkumbatia sana Israeli, kwenye makala hii nitakupitisha kwenye sababu zote za msingi kujibu swali hilo. Mwaka 1948: Dunia inaanza kutulia baada ya Vita vya Pili vya Kidunia. Palestina, eneo lililokuwa chini ya Waingereza, liko kwenye mvurugo wa vita kat…
recentlyTeknolojia inaendelea kubadilisha dunia, lakini je, wanawake wanapata nafasi sawa katika sekta hii? Katika episode hii, tunajadili mchango wa wanawake katika TEHAMA, changamoto wanazokutana nazo, na hatua muhimu za kuwawezesha zaidi. Je, jamii inaweza kufanya nini kusaidia wasichana wengi zaidi kushiriki katika teknolojia? Sikili…
recentlyKwa miaka mingi, Skype ilikuwa kama daraja lililounganisha marafiki walio mbali mkubwa kijografia, familia zilizotawanyika katika mabara tofauti, na hata wanahabari waliotegemea mahojiano ya moja kwa moja kutoka sehemu. Ilikuwa chombo kilichobadilisha jinsi watu walivyowasiliana, ikitoa nafasi kwa mazungumzo ya video kwa mara…
recentlyUnapochaji simu yako usiku au wakati wa mapumziko, unaiweka wapi? Ikiwa jibu lako ni "karibu na kichwa chako," basi huu ni wakati wa kubadilisha tabia hiyo! Inaweza kuonekana kama jambo dogo, lakini tafiti na wataalamu wa afya wanatoa tahadhari kubwa kuhusu madhara yanayoweza kutokea . Katika ulimwengu wa sasa, simu za…
recentlyVipi umeshawahi kukutana na ujumbe mfupi wa TUMA KWA NAMBA HII au SAMBAZA UJUMBE HUU KWA WATU 20 UJISHINDIE KIASI FULANI CHA FEDHA? Waswahili wanasema maneno haya si mageni jijini labda kwa wageni wa mambo haya…. Katika miaka ya hivi karibuni, wizi wa kimtandao umeongezeka kwa kasi nchini Tanzania. Ingawa serikali na mashirika…
recently"Maisha ni safari ya ujasiri, na ushindi ni kwa wale wasiosimama njiani" Rise, Fall, and Rise Again: Hadithi ya Professor Jay inakupa funzo la kupambana, pamoja na nguvu ya kusimama tena baada ya kushindwa, na mapambano ya kufikia mafanikio. Tazama hadithi hii ya Professor Jay, msanii maarufu, mjasiriamali, na kiongozi,…
recently" Marehemu Ruge aliwahi kusema Ogopa Mungu na Teknolojia" Katika ulimwengu wa kidijitali, taarifa zako za kibinafsi zinaweza kuangukia mikononi mwa watu wasio waaminifu ikiwa taarifa au vitu vyako havijafutika kikamilifu kupitia simu au kompyuta. Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2023 ya Shirika la Data Security Council…
recentlyMeet the young digital activists who are raising their hand for digital issues and awareness in Tanzania.
Social Plugin