"Maisha ni safari ya ujasiri, na ushindi ni kwa wale wasiosimama njiani"
Rise, Fall, and Rise Again: Hadithi ya Professor Jay inakupa funzo la kupambana, pamoja na nguvu ya kusimama tena baada ya kushindwa, na mapambano ya kufikia mafanikio. Tazama hadithi hii ya Professor Jay, msanii maarufu, mjasiriamali, na kiongozi, ambaye hakukata tamaa licha ya changamoto za maradhi alizopitia, bali aliongeza nguvu kama simba katika kila pigo alilopitia."
Makala hii imeandaliwa na Maria Ukhotya
Imetiwa sauti na Jackline Mgina
Na video imetengenezwa na Jeremiah Elija

1 Comments
WAKUUU MNACHELEWA SANA KUPOST HABARI ZA TECH
ReplyDelete