Teknolojia inaendelea kubadilisha dunia, lakini je, wanawake wanapata nafasi sawa katika sekta hii? Katika episode hii, tunajadili mchango wa wanawake katika TEHAMA, changamoto wanazokutana nazo, na hatua muhimu za kuwawezesha zaidi.
Je, jamii inaweza kufanya nini kusaidia wasichana wengi zaidi kushiriki katika teknolojia? Sikiliza episode hii mpya!
🎙️Producer Maria Ukhotya
#WomenInTech #DigitalRevolution #EmpowerWomen.
Sikiliza hapa

0 Comments