TEKNOLOJIA MUHIMU ZA KUJIFUNZA 2025


                         Je, unafahamu teknolojia zipi zitakazotawala dunia mwaka 2025?

          Je, una stadi gani za kidijitali zitakazokuweka mbele katika soko la ajira au biashara?

Katika episode mpya ya Eleven Digital The Podcast tunakuletea teknolojia tano muhimu unazopaswa kujifunza mapema ili kuongeza maarifa na nafasi yako kwenye dunia ya kidijitali.

#ElevenDigitalThePodcast #Teknolojia2025 #DigitalSkills #NewsOnTap #DigitalTransformation
🎙️Producer Jeremiah Elijah

Sikiliza Hapa